Waniandalia meza, mbele ya maadui zangu x2
(You prepare a table before my enemies)
Nile, ninywe, mbele ya maadui zangu x2
(That I eat and drink, before my enemies)

Refrain:
Siwezi, siwezi, bila wewe Yesu siwezi x2
(I cannot, without You Jesus, I cannot)

Siogopi, ni salama, ukiwa karibu nami x2
(I am not afraid, For I am safe if you are close to me)
Wanichunga, wanitunza, siogopi ukiwa nami x2
(You defend me, You keep me, I do not fear if You are with me)

(Refrain)

Mfariji, kila saa, sitishiki ukiwa nami x2
(Comforter, at all times, I am not scared if You are with me)

Gongo lako, fimbo lako, wafariji moyo wangu x2
(Your rod, Your staff, comfort my soul)

(Refrain)